Tukiwa kanisani mdada alikuwa amelala , akaamka akasikia Pastor anasema ” SIMAMA” Yule dada akasimama akashangaaa kanisa zima linamtizima kwa mshangao akiwemo mumewe, akaangalia kanisa zima akashtuka kujiona yeye peke yake ndiye aliesimama Pastor akaendelea vizur endelea kusimama, tumepata mmoja hadi sasa aliyesimama narudia kwa mara ya mwisho kama hujasikia vizuri ” kama wew umewahi kumsaliti au bado unasaliti ndoa yako SIMAMA” Binti akazimia
Lakini sisi wanaume hatuko fair … Yani demu anang’ng’ana kujipodoa uso na sisi tunaangalia matako. πππmungu anatuona jamanππππππMakeup ya matako iletwe
Comments
Post a Comment