Angalia huyu msichana alichonifanyia

 


Kuna siku nilichalala kipesa nikaamua kuomba dem wangu aniazime 10,000/= akanipa.

Baada ya siku mbili nikapata pesa zaidi ya laki nne hivi, nikaamua kumpa 100,000/= mpenzi wangu bila yeye kuniomba.

Baada ya siku 3 akaja kuniambia:- “Bae, ile 10,000/- niliyokuazima mwenyewe amekuja kunidai, so kama unayo naomba unipe nimrudishie maana ananisumbua leo siku ya 3.”

SAA HIZI NIPO ZANGU SINGLE NATAFUTA DEM MWINGIN

Comments