Posts

Showing posts from June, 2022

Angalia huyu msichana alichonifanyia

Image
  Kuna siku nilichalala kipesa nikaamua kuomba dem wangu aniazime 10,000/= akanipa. Baada ya siku mbili nikapata pesa zaidi ya laki nne hivi, nikaamua kumpa 100,000/= mpenzi wangu bila yeye kuniomba. Baada ya siku 3 akaja kuniambia:- “Bae, ile 10,000/- niliyokuazima mwenyewe amekuja kunidai, so kama unayo naomba unipe nimrudishie maana ananisumbua leo siku ya 3.” SAA HIZI NIPO ZANGU SINGLE NATAFUTA DEM MWINGIN

Sababu ya watu kupenda mapenzi kuliko vita

Image
 Mwalimu aliuliza swali “Kwanini watu wanapenda MAPENZI kuliko VITA? Mwanafunzi mmoja akajibu:- “Kwa sababu CONDOM ni bei rahis kuliko BUNDUKI. Wanafunzi wote: Ndiooooo…!!

Haya ndiyo madhara ya kulala kanisani

Image
  Tukiwa kanisani mdada alikuwa amelala , akaamka akasikia Pastor anasema ” SIMAMA” Yule dada akasimama akashangaaa kanisa zima linamtizima kwa mshangao akiwemo mumewe, akaangalia kanisa zima akashtuka kujiona yeye peke yake ndiye aliesimama Pastor akaendelea vizur endelea kusimama, tumepata mmoja hadi sasa aliyesimama narudia kwa mara ya mwisho kama hujasikia vizuri ” kama wew umewahi kumsaliti au bado unasaliti ndoa yako SIMAMA” Binti akazimia

Dunia ina mambo! Angalia kilichotokea baada ya mgonjwa kuwekewa macho ya paka

Image
Kuna jamaa alipata ajali akapofuka macho👀, akaenda hospital akawekewa macho ya paka🐈🐱, dokta akamuuliza: vipi saizi unaona? jamaa: naona ila naona panya tu

Tofauti ya mwanamke wa Kizaramo, Kitanga, Kihaya, na wa Kichaga

Image
  Mwanamke wakizaramo: Unampa hela ana nunua dela anaenda ana msutia jirani, analivaa dela bila nguo ya ndani mbele yako, unazidiwa anakupa kitu fresh unatoka unatabasamu.🤝🏽🙌🏽 Mwanamke wa kitanga: Unampa hela anapika vitu mtaa mzima unasikia harufu ya chakula, chenji inayo baki ananunua kinga ukirudi unakula afu unakula..👏🏼👏🏼🤝🏽🙌🏽 Mwanamke wa kihaya: Unampa hela ukirudi unakuta majirani wote wanataarifa kuwa wew uliacha hela, anakupkia vitu vzuri, usiku anakuhudumia ukimsifia anakuhudumia tena hata mara nne kwa usiku mmoja..we mle sifa tu🙌🏽🙌🏽🤸🏾‍♀👌🏽. Mwanamke wa kichaga: Unampa hela anaenda ananunua dagaa anapika na michuzi mingi mpaka dagaa wanafufuka unakula kwa shida, dagaa wanakula utumbo wako unakufa.. Madaktari wanajitahidi wanakutibu unafufuka. Ukiwa hujapata akili vizuri anakuletea bili ya umeme, anakukumbusha deni la kwa Massawe, anakukumbusha kodi ya nyumba.. *Unashikwa na presha unakufa moja kwa moja

Ni wazo tuu!

Image
Siyo watu wote wanaokuuliza kwamba watoto hawajambo,wanakuuliza kwa nia nzuri,wengine wanaulizia watoto wao waliozaa na mkeo.duh!! tutafika kwel 🙆🙆🙆🙆🏃🏃🏃

Angalia huyu mwalimu alichomfamya huyu mwanafunzi

Image
 *Hadith ya Shemdoe na Mwalimu wa English:* *Teacher:* `Who is a pharmacist?` *Shemdoe:* 👆🏿 _(raised up his hand.)_ *Teacher:* `So it’s only Shemdoe that can tell who a pharmacist is in this class? Thus, no body else to answer the question except Shemdoe?` _(There was no reply from the students)_ *Teacher:* `Ok. now Shemdoe, chukua hii fimbo, charaza vilaza hawa wote kila mmoja viboko 3.` *Shemdoe* _(akiwa amevimba kichwa, akawatwanga viboko vitatu vitatu vya kushiba darasa nzima)_ *Teacher:* `Now, my dear Shemdoe tell this dumb students, who a pharmacist is…?` *Shemdoe:* `Yes, sir. a Pharmacist is a farmer who assists people.` _*Shemdoe sasa hivi amelazwa MOI kwa wataalam wa mifupa*_😀😀😀

Soma alichojibiwa huyu mzee baada ya kudai kutaka kumsikiliza Nyerere

Image
  Mzee: Dereva ongeza sauti tumsikilize Mwalimu Nyerere!! Dereva: ungemsikiliza mwalimu wako miaka iyo saivi ungekua na gari yako 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

Hii bahati mbaya hii haifai kusema Samahani

Image
 (KIFO NI NIN) KIFO ni pale unapokosea text na kumtumia BABA yako kipindi mnakula “hello Mrembo”😁😁 Kama utazubutu kusema Samahani 😁

Duh! Wanaume jamani…

Image
 Lakini sisi wanaume hatuko fair … Yani demu anang’ng’ana kujipodoa uso na sisi tunaangalia matako. 😆😆😆mungu anatuona jaman😆😆😆😆😆😆Makeup ya matako iletwe

Cheki huyu mtoto anachomjibu mwalimu wake, kufundisha watoto ni kazi kweli kweli

Image
Mwanafunzi wa darasa la 2 kaulizwa na mwalimu wake Hivi:je ukipewa maandazi 5 ukiambiwa kula 3 tu yatabaki mangapi? Akamjibu hivi:nikipewa na chai hakibaki kitu mwalimu.

Huyu jamaa amekomeshwa, majambazi ni shida!

Image
 CHEKA KIDOGO Majambaz waliliteka gar moja lililokua limeshehen abiria Baada ya abiria kusachiwa na majambaz hao na kukutwa hawana pesa, majambaz wakasema kila m2 atapigwa viboko (bakora) kutokana na namba ya shati alilovaa Aliyekua hana namba atasalimika Kaz ikaanza, jamaa alievaa jez ya ROONEY wa Man U akapigwa fimbo 10, mwengine alievaa nguo ya 50cent akapigwa 50, n.k, sasa kwa pemben kulikua na jamaa analia sn yaani kila akijiangalia, kumbe alikua amevaa fulana limeandikwa LOWASA 2015 duuuh! Unajua kilichotokea ngoja niweke cm chaji kwanza.

Nilichokifanya wakati naangalia taarifa ya habari

Image
 Jana wakati naangalia taarifa ya habar mtangazaji akasema “mpenz mtazamaji nataka nikupeleke moja kwa moja had marekani” nikazima TV kwa haraka nikaenda kuvaa viatu. Hadi sahv bado nmekaa hapa seblen nahisi bado wanaihangaikia Visa yangu 😂😂😂😂😂😂

Madhara ya kubeba nauli kamili tuu. Cheki kilichonipata

Image
  Kubeba nauli kamili nayo ni shida Yani nimepanda daladala Kondakta mmoja akaingia kwenye Gari amevaa suti za blue za daladala na miwani Kisha akakusanya pesa Gari Zima alafu akakaa siti ya nyuma baade Kondakta mwingine akaanza kukusanya pesa watu wakalalamika na kusema tayari tumelipa na kumuonyesha tuliemlipa Kondakta akacheka na kusema huyo tuliemlipa ni kipofu na alikuwa anaomba msaada..!!

Angalia huyu house girl wa mzungu alichokifanya na anachokisema

Image
  House girl mmoja alipewa kazi na mzungu mara akavunja sahani. Mzungu aliporejea,kazin akamuuliza ‘what happened to my plate? House girl akajbu: ‘The dog wow wow friji paaa, mchuzi mwaaaa the vyombo pangalapangala the sahan ngelengenjee……the pasuka paaaaaaaa 😂😂😂😂hadi saiz mzungu bado anasoma dictionary hajui lugha gani imetumika

Angalia huyu mgonjwa

Image
 Mngojwa: daktari Nina tatizo la kusahausahau kila dakika. Daktari: hilo tatizo lilianza lini? Mngojwa:tatizo lipi? 😂😂😂😂😂😂😂

Huyu jamaa kawaweza wapenda vya bure

Image
  Jamaa kaingia mgahawani kwa fujo JAMAA : Nipe soda moja na kila mtu mpe yake maana ninapokunywa soda napenda kila mtu anywe WATU : Ha! Ha! Ha! Haaaa! JAMAA : Nipe mchemsho na kila mtu mpe wa kwake maana ninapokula mchemsho napenda kila mtu ale wake WATU: Watu weweeee! Tena safari hii Na makofi juu.. JAMAA : Mhudumu, nipe bili na kila mtu mpe yake maana ninapolipa bili napenda kuona kila mtu analipa yake

Angalia alichokifanya huyu mkaka alipoenda benki

Image
  At the bank.. Teller: Hii pesa ni fake Mkaka: Shida iko wapi..pesa ni yangu..account pia ni yangu..weka tu!!!😂😂😂

Duh, Ukisikia ngoma droo ndio hii

Image
  Ni noma! Baada ya Talaka mke kamtumia mume  meseji :- “Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako” Mume akamjibu:- “Duh! Nashukuru  Mungu  kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila siku kwamba nazini na binti yangu”   

Dogo alivyomchomea dada wa kazi kwa mama yake kuhusu baba

Image
Dogo: mama hivi  malaika  si wanapaa? Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo? Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa? Mama: ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, pumbavu zake.

Nikwambie kitu...

Image

Mbona jina limekuja muamedi

Image

Yeye ameniwahi leo.

Image

Si wenyewe tunakutaka.

Image

Wengine tuna vyeo makanisani

Image

Upo serias kweli.

Image

We mwaipopo

Image

Ukija bongo sasa

Image

Eti nini

Image

Ada nusu

Image

Subaru

Image

Kama huna hela..

Image